Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Wednesday, February 19, 2014

NAFASI ZA KAZI IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA....IMMAGRATION SERVICES DEPARTMENT JOB VACANCIES..

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Kamishna Mkuu wa Uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji. Nafasi hizo ni Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Koplo wa Uhamiaji na Konstebo wa Uhamiaji.

A.      MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (Nafasi 70)



·                     SIFA ZINAZOHITAJIKA


·                     Awe na Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa  na Serikali katika fani zifuatazo:
Sheria, Uchumi, Biashara, Utawala, Uandishi wa Habari, Ualimu, Usafirishaji, Raslimali Watu, Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Takwimu, Uchapaji, Uhandisi Majengo na Uhandisi Mitambo.


·                     Awe na umri usiozidi miaka 35