TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Kamishna Mkuu wa Uhamiaji
anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji. Nafasi hizo ni Mkaguzi
Msaidizi wa Uhamiaji, Koplo wa Uhamiaji na Konstebo wa Uhamiaji.
A. MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (Nafasi 70)
A. MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (Nafasi 70)
·
SIFA ZINAZOHITAJIKA
·
Awe
na Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu kutoka Vyuo Vikuu
vinavyotambuliwa na Serikali katika fani zifuatazo:
Sheria, Uchumi, Biashara, Utawala,
Uandishi wa Habari, Ualimu, Usafirishaji, Raslimali Watu, Sayansi ya Kompyuta,
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Takwimu, Uchapaji, Uhandisi Majengo na
Uhandisi Mitambo.
·
Awe
na umri usiozidi miaka 35
·
MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYA
·
Kusimamia
doria sehemu za Mipakani, Bandarini, Vituo vya Mabasi, Treni na sehemu zenye
vipenyo vya kuingia na kutoka nchini vikiwemo vya majini
·
Kusimamia
shughuli za upelelezi, kuandaa Hati ya Mashitaka na kuendesha mashitaka
·
Kutoa
na kupokea fomu mbali mbali za maombi ya Hati za Uhamiaji
·
Kufanya
Ukaguzi wa Mwanzo wa Maombi mbalimbali
·
Kuagiza
ufunguaji wa Majalada ya watumiaji
·
Kupokea
na kukagua Hati za Safari, Fomu za Kuingia na Kutoka Nchini
·
Kuidhinisha
malipo mbalimbali ya huduma za Uhamiaji kwa wanaostahili
·
Kutunza
kumbukumbu za ruhusa za watu wanaoingia na kutoka nchini
·
Kukusanya,
kusimamia na kutunza takwimu za Uhamiaji na Uraia
·
Kuandaa
majibu ya maombi yote ya huduma za uhamiaji yaliyokubaliwa au kukataliwa
B:
KOPLO WA UHAMIAJI (Nafasi 100)
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA:
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA:
·
Awe
amehitimu Kidato cha Sita na kufaulu
·
Awe
na umri usiozidi miaka 30
C.
KONSTEBO WA UHAMIAJI (Nafasi 100)
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA:
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA:
·
Awe
amehitimu Kidato cha Nne na kufaulu
·
Awe
na umri usiozidi miaka 25
D:
SIFA ZA ZIADA: KOPLO/KONSTEBO WA UHAMIAJI
·
Cheti
cha Ufundi Stadi (Full Technical Certificate) kwenye fani ya Umeme na Mitambo
·
Cheti
au Stashahada ya Uhaziri (Certificate or Diploma in Secretarial Studies) kutoka
Chuo kinachotambulika na Serikali
·
Cheti
au Stashahada ya Kutunza Kumbukumbu (Certificate in Records Management) kutoka
Chuo kinachotambulika na Serikali
·
Cheti
au Stashahada ya Takwimu (Certificate or Diploma in Statatistics ) Kutoka Chuo
kinachotambulika na Serikali.
·
Cheti
au Stashahada ya Vyombo vya Majini (Certificate or Diploma in Marine
Transportation and Operations) kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali
·
Cheti
au Stashahada katika fani ya Uchapaji (Printing)
·
Ujuzi
na Elimu ya Kompyuta na Uandishi mzuri utazingatiwa
·
Cheti
cha Ufundi Makanika,Kozi ya juu ya Udereva na Leseni ya Udereva Daraja C
E.
MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYA
·
Kufungua,
kupanga na kutunza majalada ya huduma mbalimbali za Uhamiaji
·
Kuandika
Hati mbalimbali za Uhamiaji
·
Kufanya
doria sehemu za Mipakani, Bandarini, Vituo vya Mabasi, Treni na sehemu zenye
vipenyo vya kuingia na kutoka nchini vikiwemo vya majini.
·
Kusindikiza
watuhumiwa wa kesi za Uhamiaji Mahakamani pamoja na wageni wanaofukuzwa nchini
·
Kufanya
ukaguzi kwenye mahoteli, nyumba za kulala wageni na sehemu za biashara.
·
Kuchapa
au kuandika kwa kompyuta barua au nyaraka mbalimbali zinazohusu kazi za kila
siku za Uhamiaji.
·
Kufanya
matengenezo/ukarabati wa mitambo na vitendea kazi vya Uhamiaji
·
Kuandaa
na kutunza takwimu za huduma mbalimbali za uhamiaji
F.
MAOMBI YOTE YAWE NA VIAMBATISHO VIFUATAVYO:
·
Nakala
za vyeti vya kuhitimu masomo kwa mujibu wa sifa zilizotajwa
·
Nakala
ya Cheti cha Kumaliza Elimu ya Msingi
·
Nakala
ya Cheti cha Kuzaliwa
·
Picha
mbili (Passport Size)
·
Barua
ya Utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa
G.
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yapitie posta na barua za maombi ziandikwe kwa mkono.
Maombi yote yapitie posta na barua za maombi ziandikwe kwa mkono.
·
Maombi
ya nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji yatumwe kwa:
KATIBU MKUU,
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI,
S.L.P. 9223, DAR ES SALAAM
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI,
S.L.P. 9223, DAR ES SALAAM
·
Maombi
ya nafasi ya Koplo wa Uhamiaji na Konstebo wa Uhamiaji yatumwe kwa:
KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI,
S.L.P. 512, DAR ES SALAAM
Mwisho wa kutuma maombi kwa nafasi zote ni tarehe 27/02/2014
S.L.P. 512, DAR ES SALAAM
Mwisho wa kutuma maombi kwa nafasi zote ni tarehe 27/02/2014
No comments:
Post a Comment